×


KASISI

Ahimidiwe Mungu wetu, daima, sasa na siku zote, hata milele na milele.

MSOMAJI

Zaburi ya 142 (143).

Ee BWANA, uisikie sala yangu, uzisikilize dua zangu, kwa uaminifu wako unijibu kwa haki yako. Wala usimhukumu mtumishi wako, maana kwako hakuna aliye hai mwenye haki. Maana adui ameifuatia nafsi yangu, ameutupa chini uzima wangu, amenikalisha mahali penye giza, kama watu waliokufa zamani. Na roho yangu imezimia ndani yangu, moyo wangu ndani yangu umesituka. Nimezikumbuka siku za kale, nimeyatafakari matendo yako yote, naziwaza kazi za mikono yako. Nakunyoshea mikono yangu; nafsi yangu inakuonea kiu kama nchi kame. Ee BWANA, unijibu hima, roho yangu imelegea; usinifiche uso wako, nisifanane nao washukao shimoni. Unifanye kusikia fadhili zako asubuhi, kwa maana nimekutumaini Wewe. Unijulishe njia nitakayoiendea, kwa maana nakuinulia nafsi yangu. Ee BWANA, uniponye na adui zangu; nimekukimbilia Wewe, unifiche. Unifundishe kuyatenda mapenzi yako, kwa maana ndiwe Mungu wangu; Roho yako mwema aniongoze kwenye nchi sawa, Ee BWANA, unihuishe kwa ajili ya jina lako, kwa haki yako unitoe roho yangu taabuni; kwa fadhili zako utawakatilia mbali adui zangu; na kuwaangamiza wote wanitesao nafsi, kwa maana mimi ni mtumishi wako.

WATU

Bwana ndiye Mungu na amefunuliwa kwetu, ambalikiwe yeye ajaye kwa jina la Bwana.

Mstari 1: Mshukuruni Bwana , litieni jina lake takatifu

Mstari 2: Mataifa yote walinizunguka; kwa jina la Bwana niliwakatalia mbali.

Mstari 3: Neno hili limetoka kwa Bwana nalo ni la ajabu machoni mwetu

Utukufu kwa Baba na Mwana na Roho Mtakatifu. Sasa na siku zote, hata milele na milele. Amina.

MSOMAJI

Zaburi ya 50 (51).

Ee Mungu, unirehemu, sawasawa na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, uyafute makosa yangu. Unioshe kabisa na uovu wangu, unitakase dhambi zangu. Maana nimejua mimi makosa yangu, na dhambi yangu i mbele yangu daima. Nimekutendea dhambi Wewe peke yako, na kufanya maovu mbele za macho yako. Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo, na kuwa safi utoapo hukumu. Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu; mama yangu alinichukua mimba hatiani. Tazama, wapendezwa na kweli iliyo moyoni; nawe utanijulisha hekima kwa siri, unisafishe kwa hisopo nami nitakuwa safi, unioshe, nami nitakuwa mweupe kuliko theluji. Unifanye kusikia furaha na shangwe, mifupa uliyoiponda ifurahi. Usitiri uso wako usitazame dhambi zangu; uzifute hatia zangu zote. Ee Mungu, uniumbie moyo safi, uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu. Usinitenge na uso wako, wala roho yako mtakatifu usiniondolee. Unirudishie furaha ya wokovu wako; unitegemeze kwa roho ya wepesi. Nitawafundisha wakosaji njia zako, na wenye dhambi watarejea kwako. Ee MUNGU, Mungu wa wokovu wangu, uniponye na damu za watu, na ulimi wangu utaiiimba haki yako. Ee Bwana, uifumbue midomo yangu, na kinywa changu kitazinena sifa zako. Maana hupendezwi na dhabihu au ningeitoa, Wewe huridhii sadaka ya kuteketezwa. Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika; moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau. Uitendee mema Sayuni kwa radhi yako, uzijenge kuta za Yerusalemu. Ndipo utakapopendezwa na dhabihu za haki, na sadaka za kuteketezwa, na kafara. Ndipo watakapotoa ng''ombe juu ya madhabahu yako.

WATU

(x 2)

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Wimbo wa Mzazi-Mungu

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Mzazi-Mungu mtakatifu sana, utuokoe.

Utukufu kwa Baba na Mwana na Roho Mtakatifu.

Sasa na siku zote, hata milele na milele. Amina.

Wimbo wa Mzazi-Mungu

KASISI

Tumwombe Bwana.

Bwana, hurumia.

Mungu Mtakatifu, Mweza Mtakatifu, Usiyekufa Mtakatifu, utuhurumie. (x 3)

Utukufu kwa Baba na Mwana na Roho Mtakatifu.

Sasa na siku zote, hata milele na milele. Amina.

Usiye kufa mtakatifu, utuhurumie

SHEMASI

Kwa nguvu.

WATU

Kwa nguvu. Mungu Mtakatifu, Mweza Mtakatifu, Usiyekufa Mtakatifu, utuhurumie.

MASOMO

WARAKA

KASISI

Tusikilize.

MSOMAJI

Zaburi

KASISI

Hekima.

MSOMAJI

Somo katika Paul''s Letter to the Hebrews.

KASISI

Tusikilize.

MSOMAJI

2:11-18

Brethren, he who sanctifies and those who are sanctified have all one origin. That is why he is not ashamed to call them brethren, saying, "I will proclaim thy name to my brethren, in the midst of the congregation I will praise thee." And again, "I will put my trust in him." And again, "Here am I, and the children God has given me." Since therefore the children share in flesh and blood, he himself likewise partook of the same nature, that through death he might destroy him who has the power of death, that is, the devil, and deliver all those who through fear of death were subject to lifelong bondage. For surely it is not with angels that he is concerned but with the descendants of Abraham. Therefore he had to be made like his brethren in every respect, so that he might become a merciful and faithful high priest in the service of God, to make expiation for the sins of the people. For because he himself has suffered and been tempted, he is able to help those who are tempted. [RSV]

KASISI

Amani kwako Ee Msomaji.

WATU

Alleluya, Alleluya, Alleluya.

Mstari 1:

Mstari 2:

INJILI

KASISI

Hekima. Simameni wima. Tusikilize Injili takatifu.

Amani kwa wote.

(Na iwe kwa roho yako.)

KASISI

Injili Takatifu kama ilivyoandikwa na John. Sura... mstari...

Tusikilize.

(Utukufu kwako, Ee Bwana, Utukufu kwako.)

KASISI

5:1-4

At that time, Jesus went up to Jerusalem. Now there is in Jerusalem by the Sheep Gate a pool, in Hebrew called Bethesda which has five porticoes. In these lay a multitude of invalids, blind, lame, paralyzed, waiting for the moving of the water; for an angel of the Lord went down at certain seasons into the pool, and troubled the water; whoever stepped in first after the troubling of the water was healed of whatever disease he had. [RSV]

(Utukufu kwako, Ee Bwana, Utukufu kwako.)

KASISI

Kwa amani tumwombe Bwana.

(Bwana, hurumia)

Kwa ajili ya amani kutoka juu na ya wokovu wa roho zetu, tumwombe Bwana.

(Bwana, hurumia)

Kwa ajili ya amani ya dunia yote na kusimama imara kwa Ekklesia takatifu ya Mungu na kwa umoja wa wote, tumwombe Bwana.

(Bwana, hurumia)

Kwa ajili ya nyumba hii takatifu na waingiamo kwa imani, heshima na kumcha Mungu, tumwombe Bwana.

(Bwana, hurumia)

Kwa ajili ya Papa na Patriarka wetu ..., Askofu wetu mkuu ..., [swh_ke_oak] [swh_ke_oak] makasisi waaminifu, mashemasi katika Kristo, wateule na watu wote, tumwombe Bwana.

(Bwana, hurumia)

Kwa ajili ya taifa letu linalomcha Mungu, raisi wetu, viongozi wetu na majeshi wapendao dini, tumwombe Bwana.

(Bwana, hurumia)

Kwa ajili ya mji huu, miji yote na nchi zote na waishimo kwa imani, tumwombe Bwana.

(Bwana, hurumia)

Kwa ajili ya kupata majira mema ya mwaka, na mvua ya kutosha, hewa safi na rutuba ya kutosha kwa ardhi, tumwombe Bwana.

(Bwana, hurumia)

Kwa ajili ya wasafiri angani, majini, baharini na nchi kavu, wagonjwa, wachoshwa, mateka na kwa ajili ya wokovu wao, tumwombe Bwana.

(Bwana, hurumia)

(Bwana, hurumia)

(Bwana, hurumia)

(Bwana, hurumia)

(Bwana, hurumia)

(Bwana, hurumia)

(Bwana, hurumia)

(Bwana, hurumia)

Kwa ajili ya kuokolewa kwa kila sikitiko, ghadhabu, hatari na uhitaji, tumwombe Bwana.

(Bwana, hurumia)

Utulinde, utuokoe, utuhurumie, utuhifadhi Ee Mungu kwa neema yako.

(Bwana, hurumia)

Tumkumbuke Maria mtakatifu kamili, asiye na doa, mbarikiwa zaidi kushinda wote, Bibi wetu mtukufu, Mzazi-Mungu na Bikira daima, pamoja na watakatifu wote, sisi wenyewe na wenzetu wote, hata maisha yetu, tujiweke mikononi mwa Kristo Mungu.

(Kwako, Ee Bwana.)

Kwa kuwa utukufu wote, heshima na usujudu ni haki yako, Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, sasa na siku zote, hata milele na milele.

(Amina.)

KASISI

Tumwombe Bwana.

(Bwana, hurumia)

(Amina.)

Amani kwa wote.

(Na iwe kwa roho yako.)

Tuinamishe vichwa vyetu mbele ya Bwana.

(Kwako, Ee Bwana.)

KASISI

(Amina.)

WATU

(x 2)

KASISI

Utukufu kwa Baba na Mwana na Roho Mtakatifu. Sasa na siku zote, hata milele na milele. Amina. Wimbo wa Mzazi-Mungu

KASISI

Utuhurumie Ee Mungu kadiri ya huruma yako kubwa, tunakuomba utusikilize na kutuhurumia.

Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia.

Kwa ajili ya Askofu wetu [swh_ke_oak] [swh_ke_oak]

Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia.

Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia.

Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia.

Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia.

KASISI

(Amina.)

KASISI

Utukufu kwako, Ee Mungu, matumaini yetu, utukufu kwako, Ee Bwana.

Kristo Mungu wetu wa kweli, kwa maombi ya Mama yake asiye na doa na asiye na waa, mtakatifu kamili; kwa nguvu ya msalaba wenye thamani na mpaji wa uhai; kwa ulinzi wa nguvu zisizo na mwili waheshimiwa wa mbinguni; kwa maombi ya Yohana, Nabii, mtangulizi na mbatizaji, mheshimiwa na wa sifa; ya Mitume watakatifu, watukufu na wasifiwa; ya mashahidi watakatifu, wasifiwa na washindaji wazuri; ya watawa watakatifu na wacha Mungu; [swh_ke_oak] ya watakatifu na wenye haki Yohakim na Anna; ya mtakatifu (jina) (wa siku hii) tunayekumbuka leo; na ya watakatifu wote, atuhurumie na kutuokoa kwa kuwa yeye ni mwema na mpenda wanadamu.

Kwa maombi ya mababa wetu watakatifu, Ee Bwana Yesu Kristo Mungu wetu, utuhurumie na utuokoe. Amina.

(Amina.)